Africa's First Social Media Platform
Lyrics
Usinione naruka ruka msela sijafika
Usinione nacheza ngoma msela sijafika
Usinione narukaruka dada sijafika (aha)
Usinione nacheza ngoma dada sijafika
Usinione mimi kwenye sitolia, sijafika
Usinione mimi kwenye tamutamu, sijafika
Usinione narusharusha mateke sijafika
Usinione nawashawasha moto sijafika
chorus
Sijafka x6
Iyeeh, natafuta Yesu maishani oooh!
Iye iye iyeeh natafuta Yesu, Maishani ooh!
Iyeeh, natafuta Yesu maishani oooh!
Iye iye iyeeh natafuta Yesu, Maishani ooh!
Ma time, huwa nang’unika nikipata chuki
Na me natafuta Yesu wangu wa maishani
Kweli kafanya nishikilie Baba lakini bado
Mimi Kambua sijafika nahitaji uwepo wako
Ndio maana usiku na mchana nitakupa sifa
Nilianza Omwami aletsa, ikafuata Yesu Iroma
Ikaja kibali, nabado nkasonga
Tulipotoa sitolia mwana, walidhani tumefika
Kumbe, ilibidi tu follow follow you
Bado nangojea Matokeo yangu
Bado nangoja matokeo
Hata baada ya mpango wa kando, sijafika
Tuma Baba msaidizi kwangu
Maana Zaidi nataka nimwone Yesu Maishani mwangu
Chorus
Hatujafika, tunasafiri sote
Hatujafika tukosafarini sote eeh!
Hatujafika hatujafika mama
Hatujafika X2
Song Name : | Willy-Paul-Sijafika-Feat-Size-8-Kambua--Gloria-Muliro |
Artists : | Willy Paul |
Album : | Willy Paul |
Uploaded On : | 2018-12-26 |
Uploaded by : | Ninette James |