Africa's First Social Media Platform
Lyrics
[INTRO] Mmmmhh ma mama (Beat ya pozzee)
Mmmh ma mama
Uyu ni pozee,
sio rozee Uya ni pozee Uyu ni pozee,
sio rozee
Uyu ni pozee
Sijui ni shaku ama ni kuku
Wananitingitingi kama bantu
Some people make me go crazy
Wananiita ata ng’ombe Wananifollow
willy willy kama drama
Utadhani mimi willy Instagrama
Wanauliza naendesha gari gani
Ni hii bima ama ile benz Wanauliza
mi naishi nyumbe gani Ni runda one
ama runda mbili Wanauliza
naubiri nijili gani Injili ya mwokozi
ama ya mabinti But asante mungu,
kwa uhai Hiii ! bora uhai
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh ma mama
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh mama eeh
[KHALIGRAPH JONES] Napokea baraka kutoka kwa most high Nkapick mansion iko close by And a private jet men I don’t lie Hii yote bila whitecollar ama bow tie Mi husema God husaidia wale hujipea motisha So call me David vile mkono narudisha Nasema asante nasi pupa msee So uwivu ya nini na atakupa basi if you can pray
[Willy Paul] Na atakaa nina wabore Nikishinda nawatajia kayole Bora ujue sina ngori Bado tuna shine ama vipi pozzee Kuna shine ama vipi OG Kwa mwenyezi tuko fiti OG Wenye roho mbaya tunaweke fit Hatuwakanyagi fit ndi Ndio Baraka zikicome waone kwa mbali Wabaki wakilia kama tulady I got the congregation saying huyo Pastor ni moto Nikitibu nakafunga mi si daktari msoto Brand international saa sitaki local Bora uhai whether chai ama Cadbury coco
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh ma mama
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh mama eeh
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh ma mama
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh mama eeh
Uyu ni pozee, sio rozee
Uyu ni pozee Uyu ni pozee,
sio rozee Uyu ni pozee
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh mama eeh
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! Bora uhai !
Bora uhai ! iiih eeh mama eeh
Song Name : | Willy-Paul-Bora-Uhai-feat-Khaligraph-Jones |
Artists : | Willy Paul |
Genre : | Afro-Pop |
Album : | Willy Paul |
Uploaded On : | 2018-12-26 |
Uploaded by : | Ninette James |